Ruka hadi kwenye maudhui
DukaHuru

Kidijitali (PDF)

Jinsi Mitandao Inavyolipa

Shamsi Ramadhani

Kitabu Jinsi Mitandao Inavyolipa kinaeleza kwa kina jinsi ya kutumia social media kujenga kipato na brand binafsi. Kinakufundisha jinsi ya kutengeneza content inayovutia, kujenga audience yenye thamani, na kubadilisha attention kuwa fedha. Ni mwongozo wa vitendo kwa mtu yeyote anayetaka kuanza au kukuza biashara kupitia mitandao.