Kilichochapishwa
Saikolojia ya Wateja na Bei
Shamsi Ramadhani
Kitabu kinachokufundisha kuelewa namna wateja wanavyofikiri, kuamua, na kuitikia bei. Kupitia mifano halisi ya biashara, kinaonesha kwa nini bei si namba tu, bali ni saikolojia, mtazamo na thamani. Ukisoma kitabu hiki, utaacha kubahatisha bei na kuanza kuuza kwa uelewa, ujasiri na mkakati.