Kidijitali (PDF)
Namna ya Kutumia Mitandao Kibiashara
DukaHuru
Unataka kuanza kutumia Instagram kukuza biashara yako lakini hujui uanze wapi? Mwongozo huu unakupa hatua sahihi za mwanzo ili kujenga msingi imara wa brand yako mtandaoni. Utajifunza maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuanza, kuelewa target market wako, na namna ya kutumia mitandao ya kijamii kimkakati ili kupata wateja na kukuza biashara yako.