Kidijitali (PDF)
Siri ya Kufanya Customer Service Vizuri
DukaHuru
Kitabu hiki kinakufundisha siri halisi za kwa nini wateja wanachagua biashara fulani na kuacha nyingine. Utajifunza namna ya kuboresha customer experience, customer service na customer care ili kuongeza mauzo na kujenga wateja wa kudumu. Kama unataka biashara yako ikue na ijitofautishe sokoni, hiki ni kitabu sahihi kwako.