Ruka hadi kwenye maudhui
DukaHuru

Kidijitali (PDF)

Tofauti ya Branding na Marketing

DukaHuru

Mwongozo wa vitendo na rahisi kuhusu misingi ya branding na marketing: kujenga brand imara, kumtambua mteja wako lengwa, kuchambua washindani, kuandaa mkakati wa brand yako na kutangaza biashara yako mitandaoni. Kwa wajasiriamali, wamiliki wa biashara na wauzaji. PDF, kwa Kiswahili, imeandaliwa na DukaHuru.