Vitabu vya DukaHuru
Miongozo ya vitendo kwa Kiswahili kuhusu wateja, bei, chapa na kuuza mtandaoni. Mtu yeyote anaweza kuvinunua, bila akaunti.
-
1
Chagua kitabu
Kifungue usome kinachozungumzia na uone bei.
-
2
Lipa kwa pesa kwa simu
Andika jina lako na namba ya simu. Ombi la malipo linakuja kwenye simu yako.
-
3
Pata kitabu chako
Kitabu cha kidijitali kinapakuliwa papo hapo, na kiungo kinatumwa kwa SMS kwa siku 30. Kitabu kilichochapishwa kinaletwa: tunakupigia simu kupanga.
-
Kilichochapishwa
Saikolojia ya Wateja na Bei
Jinsi wateja wanavyofanya maamuzi, na jinsi bei inavyoathiri mtazamo wao. Kitabu cha kuchapishwa.
TZS 35,000
-
Kidijitali (PDF)
Saikolojia ya Wateja na Bei
Jinsi wateja wanavyofanya maamuzi, na jinsi bei inavyoathiri mtazamo wao. Toleo la PDF.
TZS 25,000
-
Kidijitali (PDF)
Siri ya Kufanya Customer Service Vizuri
Kwa nini wateja huchagua biashara moja na kuacha nyingine, na jinsi ya kuwahudumia warudi tena.
TZS 15,000
-
Kidijitali (PDF)
Jinsi Mitandao Inavyolipa
Kutoka followers hadi mapato: kujenga biashara na brand binafsi kupitia mitandao ya kijamii.
TZS 25,000
-
Kidijitali (PDF)
Tofauti ya Branding na Marketing
Misingi ya branding na marketing, imeelezwa kwa urahisi, kwa Kiswahili.
TZS 17,500
-
Kidijitali (PDF)
Namna ya Kutumia Mitandao Kibiashara
Hatua za mwanzo za kukuza biashara kupitia Instagram, na maswali ya kujiuliza kabla ya kuanza.
TZS 15,000
Unanunua kwa ajili ya kikundi au mafunzo?
Tuulize kuhusu nakala nyingi zilizochapishwa. Jumatatu hadi Ijumaa 9:00–18:00, Jumamosi 9:00–14:00.
Uko tayari kukua? Kundi lijalo linaundwa sasa.
Kila mshiriki anayemaliza programu anapokea cheti ambacho mtu yeyote anaweza kukihakiki mtandaoni.